Ufafanuzi wa msitu katika Kiswahili

msitu

nominoPlural misitu

  • 1

    mahali penye miti mingi, mikubwa na midogo, vichaka na nyasi.

    mwitu

Matamshi

msitu

/msitu/