Ufafanuzi wa msoa katika Kiswahili

msoa

nominoPlural misoa

  • 1

    kundi la watu waliofuatana au kukusanyika kwa wingi.

Matamshi

msoa

/msɔa/