Ufafanuzi wa msokoto katika Kiswahili

msokoto

nominoPlural misokoto

  • 1

    kitu kilichotengenezwa kwa kusokotwa k.v. sigara, uzi, n.k..

    ‘Msokoto wa sigara’

Matamshi

msokoto

/msɔkɔtɔ/