Ufafanuzi wa msondani katika Kiswahili

msondani

nominoPlural wasondani

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kufanya watu wacheke.

    mcheshi, mchekeshaji

Matamshi

msondani

/msɔndani/