Ufafanuzi wa msondo katika Kiswahili

msondo

nominoPlural misondo

  • 1

    ngoma ndefu na kubwa.

  • 2

    mchezo wa ngoma ya unyago.

Matamshi

msondo

/msɔndɔ/