Ufafanuzi wa msongamano katika Kiswahili

msongamano

nominoPlural misongamano

  • 1

    hali ya watu au vitu vingi kubanana kutokana na kukosekana nafasi.

    msongano

Matamshi

msongamano

/msɔngamanɔ/