Ufafanuzi wa mstaarabu katika Kiswahili

mstaarabu

nominoPlural wastaarabu

  • 1

    mtu mwenye vitendo, tabia na mwenendo unaolingana na maadili ya jamii anayoishi.

Asili

Kar

Matamshi

mstaarabu

/msta:rabu/