Ufafanuzi wa mstafeli katika Kiswahili

mstafeli

nominoPlural mistafeli

  • 1

    mti mkubwa unaozaa mastafeli yenye vidutu na nyama nyeupe zilizo na mbegu nyeusi ndani.

Asili

Kaj/Khi

Matamshi

mstafeli

/mstafɛli/