Ufafanuzi wa mstahimilivu katika Kiswahili

mstahimilivu

nominoPlural wastahimilivu

  • 1

    mtu mwenye uwezo wa kuchukua mambo mazito bila ya kulalamika.

    mvumilivu

Asili

Kar

Matamshi

mstahimilivu

/mstahimilivu/