Ufafanuzi wa mstamu katika Kiswahili

mstamu

nomino

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    ubao ulio ndani ya mgongo wa chombo uliopigiliwa mataruma na mlingoti.

Matamshi

mstamu

/mstamu/