Ufafanuzi wa mstari katika Kiswahili

mstari

nominoPlural mistari

 • 1

  mwendelezo wa mchoro ulionyoka.

  mfuo, mlia, mtai

 • 2

  mfuatano wa vitu au watu mmoja baada ya mwingine.

  ‘Panga mstari’
  mraba, foleni, mlolongo

Asili

Kar

Matamshi

mstari

/mstari/