Ufafanuzi wa mstatili katika Kiswahili

mstatili

nominoPlural mistatili

  • 1

    umbo lenye pembe nne na pande nne ambazo kila mbili zilizokabiliana zinalingana vipimo na kila pembe yake huwa digrii 90.

Asili

Kar

Matamshi

mstatili

/mstatili/