Ufafanuzi wa msufi katika Kiswahili

msufi

nominoPlural misufi

  • 1

    mti mkubwa unaozaa vitumba vyenye sufi.

Asili

Kar

Matamshi

msufi

/msufi/