Ufafanuzi wa msuguano katika Kiswahili

msuguano

nomino

  • 1

    hali ya kusuguana kwa vitu vilivyokaribiana.

Matamshi

msuguano

/msuguwanÉ”/