Ufafanuzi wa msukaji katika Kiswahili

msukaji

nomino

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kusuka k.v. vikapu, mikeka au nyavu.

Matamshi

msukaji

/msukaŹ„i/