Ufafanuzi wa msukosuko katika Kiswahili

msukosuko

nominoPlural misukosuko

  • 1

    hali ya kutokuwepo na utulivu au amani.

    machafuko, chonza, jekejeke, makunjubo, ghasia, fujo

  • 2

    hali ya kitu kwenda huku na huko.

    mtikisiko

Matamshi

msukosuko

/msukɔsukɔ/