Ufafanuzi wa msukumano katika Kiswahili

msukumano

nominoPlural misukumano

  • 1

    hali ya watu kusukumana na kupigana kumbo.

    mbindi

Matamshi

msukumano

/msukumanɔ/