Ufafanuzi wa msukumizi katika Kiswahili

msukumizi

nominoPlural wasukumizi

  • 1

    mtu amsukumiaye mtu mwingine ugonjwa, lawama au bahati mbaya.

Matamshi

msukumizi

/msukumizi/