Ufafanuzi wa msukuo katika Kiswahili

msukuo

nominoPlural misukuo

  • 1

    tendo la kusukuma mtu kwa kidole kwenye paji la uso au popote kichwani.

    mdukuo

Matamshi

msukuo

/msukuwɔ/