Ufafanuzi wa msukwano katika Kiswahili

msukwano

nomino

  • 1

    kipini cha kekee.

  • 2

    sehemu ambapo kekee huwa inaunganishwa au kufungwa kwa kipini kidogo kinachopenyezwa katika sehemu maalumu.

Asili

Kar

Matamshi

msukwano

/msukwanÉ”/