Ufafanuzi wa msuluhivu katika Kiswahili

msuluhivu

nominoPlural wasuluhivu

  • 1

    mtu mwenye kufahamu mambo na namna zake.

  • 2

    mtu anayejifanya kuwa anajua kila kitu; mtu mwenye kimbelembele.

Matamshi

msuluhivu

/msuluhivu/