Ufafanuzi wa msumbi katika Kiswahili

msumbi

nomino

  • 1

    mtu asiyetulia k.v. mtoto mdogo.

    mtukutu, mtundu

Matamshi

msumbi

/msumbi/