Ufafanuzi wa msuraki katika Kiswahili

msuraki

nomino

  • 1

    kijiti katika mtalawanda kinachoshikilia mguu ambacho huingia baina ya kidole gumba na cha pili yake.

Matamshi

msuraki

/msuraki/