Ufafanuzi wa msusi katika Kiswahili

msusi

nominoPlural wasusi

  • 1

    mtu anayesuka watu nywele.

    msonzi

Matamshi

msusi

/msusi/