Ufafanuzi wa msusumo katika Kiswahili

msusumo

nominoPlural misusumo

  • 1

    hali ya kuchukua mtu bila ya hiari yake au kuchukua kitu chake bila ya mwenyewe kupenda.

    ‘Imekuwa si hiari ni msusumo’

Matamshi

msusumo

/msusumɔ/