Ufafanuzi wa mtaa katika Kiswahili

mtaa

nomino

  • 1

    kitongoji cha mji kilichojitenga na sehemu nyingine ya mji kufuatana na asili ya ujenzi wa mji wenyewe.

    kata, lokesheni, hara

Matamshi

mtaa

/mta:/