Ufafanuzi wa mtaba katika Kiswahili

mtaba

nominoPlural mitaba

  • 1

    gome kavu la mgomba au chombo k.v. mkebe kinachotiwa tumbaku.

    tapa

Matamshi

mtaba

/mtaba/