Ufafanuzi wa mtago katika Kiswahili

mtago

nominoPlural mitago

  • 1

    tendo au namna ndege anavyotoa mayai.

  • 2

    kipindi kuku anapotaga.

    ‘Mtago huu kuku ameishia mayai saba tu’

Matamshi

mtago

/mtagɔ/