Ufafanuzi wa mtaguso katika Kiswahili

mtaguso

nominoPlural mitaguso

Kidini
  • 1

    Kidini
    mkutano maalumu wa wakuu wa kanisa Katoliki ambao unaweza kubadili baadhi ya sheria kwa ruhusa maalumu ya Baba Mtakatifu.

Matamshi

mtaguso

/mtagusɔ/