Ufafanuzi wa mtahini katika Kiswahili

mtahini

nominoPlural watahini

  • 1

    mtu anayesimamia au kuuliza maswali ya mtihani kwa wanaofanya mtihani.

Asili

Kar

Matamshi

mtahini

/mtahini/