Ufafanuzi wa mtalaa katika Kiswahili

mtalaa, mutalaa

nominoPlural mitalaa

  • 1

    utaratibu wa masomo wa kiwango fulani.

  • 2

    mafunzo ya masomo ya kujiendeleza.

  • 3

    utafiti kuhusu jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

mtalaa

/mtala:/