Ufafanuzi wa mtali katika Kiswahili

mtali

nominoPlural mitali

  • 1

    pambo la mviringo linalotengenezwa kwa k.v. shaba au fedha na kuvaliwa katika kifundo cha mguu.

    kugesi, furungu

Matamshi

mtali

/mtali/