Ufafanuzi wa mtambaajongoo katika Kiswahili

mtambaajongoo

nominoPlural mitambaajongoo

  • 1

    mti wenye shina la rangi nyeusi na majani madogo na ambao hutumika kutengenezea mipini ya majembe.

Matamshi

mtambaajongoo

/mtamba:ʄɔngɔ:/