Ufafanuzi wa mtambaji katika Kiswahili

mtambaji

nominoPlural watambaji

  • 1

    mtu anayesimulia hadithi au ngano.

    ‘Mtambaji hadithi’
    msimulizi

  • 2

    mtu mwenye tabia ya kujisifu au kwenda mwendo wa matao.

Matamshi

mtambaji

/mtambaʄi/