Ufafanuzi wa mtambao katika Kiswahili

mtambao

nominoPlural mitambao

  • 1

    hali, namna au tendo la kutambaa.

Matamshi

mtambao

/mtambaɔ/