Ufafanuzi msingi wa mtambo katika Kiswahili

: mtambo1mtambo2mtambo3

mtambo1

nominoPlural mitambo

 • 1

  kifaa kinachotoa nguvu kuendeshea vitu mbalimbali.

  mashine

 • 2

  kitanda cha kufumia nguo; mashine.

Matamshi

mtambo

/mtambɔ/

Ufafanuzi msingi wa mtambo katika Kiswahili

: mtambo1mtambo2mtambo3

mtambo2

nominoPlural mitambo

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  kamba za kuvutia wavu au juya ambazo hutengenezwa kwa chane za miyaa.

  ngwe

Matamshi

mtambo

/mtambɔ/

Ufafanuzi msingi wa mtambo katika Kiswahili

: mtambo1mtambo2mtambo3

mtambo3

nominoPlural mitambo

 • 1

  sehemu tambarare iliyoko baina ya mito miwili.

Matamshi

mtambo

/mtambɔ/