Ufafanuzi wa mtanato katika Kiswahili

mtanato

nominoPlural mitanato

  • 1

    kijidaraja cha mti katika kijito kidogo.

    mtatago, daraja

Matamshi

mtanato

/mtanatɔ/