Ufafanuzi msingi wa mtanda katika Kiswahili

: mtanda1mtanda2

mtanda1

nominoPlural mitanda

  • 1

    nyama iliyokatwa kwa urefu kama kamba na kuanikwa au kubanikwa.

    ‘Nyama ya mtanda’
    msikita

Matamshi

mtanda

/mtanda/

Ufafanuzi msingi wa mtanda katika Kiswahili

: mtanda1mtanda2

mtanda2

nominoPlural mitanda

  • 1

    uzi unaopitishwa kati ya viwanda katika kazi ya kutarizi au kufuma.

Matamshi

mtanda

/mtanda/