Ufafanuzi wa mtandao katika Kiswahili

mtandao

nominoPlural mitandao

  • 1

    mfumo wa vitu k.v. wa simu, barabara au umeme unaounganisha sehemu au watu mbalimbali.

  • 2

    mfumo wa mawasiliano ya kielektroniki unaopitia katika kompyuta ulimwenguni unaotumiwa kutafuta taarifa, kuwasiliana au kupeana taarifa.

Matamshi

mtandao

/mtandawɔ/