Ufafanuzi wa mtandio katika Kiswahili

mtandio

nominoPlural mitandio

  • 1

    kitambaa chepesi kinachotumiwa kufunika nywele, kujitanda kichwani au kujitupia begani.

    skafu

Matamshi

mtandio

/mtandijɔ/