Ufafanuzi wa Mtang’ata katika Kiswahili

Mtang’ata

nominoPlural watang’ata

  • 1

    mtu au mwenyeji wa mwambao wa pwani ya Tanga kuanzia Machui, Kivindani mpaka Kigombe ambaye huongea lahaja ya Kiswahili iitwayo Kimtang’ata.

Matamshi

Mtang’ata

/mtaŋata/