Ufafanuzi wa mtangawizi katika Kiswahili

mtangawizi

nominoPlural mitangawizi

  • 1

    mmea wenye tangawizi itumiwayo kuwa ni kiungo cha kinywaji au chakula au hutumiwa kuwa ni dawa ya kifua.

Matamshi

mtangawizi

/mtangawizi/