Ufafanuzi wa mtangazaji katika Kiswahili

mtangazaji

nominoPlural watangazaji

  • 1

    mtu anayeeneza au kutangaza habari za kitu.

    ‘Mtangazaji wa redio’
    ‘Mtangazaji wa biashara’

Matamshi

mtangazaji

/mtangazaʄi/