Ufafanuzi wa mtanguo katika Kiswahili

mtanguo

nomino

  • 1

    tendo la kubatilisha sheria, tangazo au tendo.

    mbatilisho

Matamshi

mtanguo

/mtanguwÉ”/