Ufafanuzi wa mtanuko katika Kiswahili

mtanuko

nominoPlural mitanuko

  • 1

    hali ya kuongezeka ukubwa au kutanuka.

Matamshi

mtanuko

/mtanukɔ/