Ufafanuzi wa mtanzi katika Kiswahili

mtanzi

nominoPlural watanzi

  • 1

    mtu avuaye dagaa au samaki kwa kutumia upindo wa nguo unaolazwa na kukokotwa na watu zaidi ya mmoja.

Matamshi

mtanzi

/mtanzi/