Ufafanuzi wa mtapitapi katika Kiswahili

mtapitapi

nomino

  • 1

    mtu aliyejawa na wasiwasi hata asijue afanyeje.

  • 2

    mtu asiye na kauli thabiti.

Matamshi

mtapitapi

/mtapitapi/