Ufafanuzi wa mtarajiwa katika Kiswahili

mtarajiwa

nominoPlural watarajiwa

  • 1

    mtu anayetarajiwa kufanya jambo au kuwa katika nafasi au hadhi fulani kipindi kifupi kijacho.

    ‘Bibi harusi mtarajiwa anapewa mafunzo ya ndoa na akina mama’

Matamshi

mtarajiwa

/mtaraʄiwa/