Ufafanuzi wa mtarizi katika Kiswahili

mtarizi

nominoPlural watarizi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kufuma au kushona kwa kutumia ufundi wa mikono au mitambo maalumu.

Matamshi

mtarizi

/mtarizi/