Ufafanuzi wa mtashi katika Kiswahili

mtashi

nomino

  • 1

    mtu atakaye kitu na akiombaye.

    mwombaji

Matamshi

mtashi

/mta∫i/